Vunja Mbavu 4.0.9

Licentie: Gratis ‎Bestandsgrootte: 3.04 MB
‎Gebruikersbeoordeling: 2.5/5 - ‎7 ‎Stemmen

Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni, picha, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Vichekesho Vichekesho Vioja Vioja Katuni Katuni Makala Makala Simulizi Simulizi Siasa Siasa Jamii Jamii Picha Picha Video Engels: Vunja Mbavu is een applicatie waarmee gebruikers moppen geschreven in Swahili taal kunnen zoeken en lezen. Wij geloven dat lachen invloed kan hebben op geluksleven en wij geloven dat lachen meer is dan medicatie voor gestreste mensen. Vunja Mbavu app heeft een verzameling van verschillende grappen die iedereen aan het lachen en plezier kunnen maken. Het goede is; Vunja Mbavu is voor iedereen zelfs familie grappen, omdat we reguleren misbruik talen en we geloven dat iedereen kan lachen zonder het horen van beledigende woorden.

versiegeschiedenis

  • Versie 4.0.9 geplaatst op 2016-02-13

Programmadetails